
Mwanahamisi Singano: Mfumo Dume Huwabeba Wanaoutetea na Kuwaadhibu Wanaotaka Kuubomoa
Mwanaharakati huyo anautaja mfumo dume kama chanzo kikuu cha matatizo mengi katika jamii kwani unalenga kuifanya jamii kuwa yenye manufaa kwa jinsia moja (ya wanaume) kwa gharama ya jinsia nyengine (ya wanawake)







