
Mchakato Uchukuaji Fomu CCM Washika Kasi: Vijana CCM Wajitosa Majimbo ya Mawaziri
Zoezi hili la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania uteuzi linahusu nafasi Ubunge wa Jimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Ubunge wa Viti Maalum, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum, Udiwani wa Kata au Wadi na Udiwani wa Viti Maalum.








