
Jinsi Uchaguzi Mkuu 2020 Ulivyoacha Simulizi za Majonzi Tarime
Ni simulizi za kupotea kwa vijana wa CHADEMA Damas Wilson na Richard ambao waliripotiwa kutoweka kwenye mazingira ya kutatanisha mnamo Oktoba 26, 2020 na kutokupatikana mpaka sasa.
Ni simulizi za kupotea kwa vijana wa CHADEMA Damas Wilson na Richard ambao waliripotiwa kutoweka kwenye mazingira ya kutatanisha mnamo Oktoba 26, 2020 na kutokupatikana mpaka sasa.
The Chanzo inazungumza na mwanaharakati Tito Magoti kupata mtazamo wake wa haki za binadamu chini ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na mapendekezo yake ya namna ya kuboresha mfumo wa haki jinai nchini Tanzania.
Kumekuwapo na tuhuma kwamba katika utekelezaji wa majukumu yao Masheha wamekuwa wakikipendelea chama cha CCM na wakila njama za kuvidumaza vyama vya upinzani. Tuhuma hizi huibuka zaidi wakati wa michakato ya chaguzi kuu kuanzia utoaji wa kadi za Mzanzibari Mkaazi na usajili wa daftari la wapiga kura.
Awamu ya kwanza ya ujenzi wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya kata ya Idetemya iliyopo Misungwi mkoani Mwanza ilitegemewa kukamilika Januari 10,2022, lakini kutokana na changamoto za upatikanaji wa vifaa vya ujenzi mradi huo utakamilika Februari 28,2022. Mradi huo unagharimikiwa na fedha za tozo ya miamala ya simu
Kitendo cha CCM kukwepa kuongelea mapungufu yake limekuwa ni moja ya sababu kuu zinazosababishwa na kutokuwepo kwa jitihada za makusudi kurekebisha maeneo mbalimbali yanayolalamikiwa kuhusu chama hicho.
Watu walioko magerezani ambao haki yao haimaanishi kuachiwa tu, bali kusikilizwa, na kupata matokeo kwa wakati, wapewe kipaumbele. Hakuna lugha nyingine ya kuelezea mfumo wetu wa haki jinai zaidi ya kusema tuko njia panda!
Uchambuzi huu unafanyika kwa kutoa alama maalumu kwa mawaziri wote. Alama A itamaanisha aliyefanya vizuri sana. B vizuri. C ikimaanisha kawaida. D ikiwa isiyoridhisha na F ikimaanisha mbaya.
Ireland yagoma kuirejeshea Tanzania fedha ilizotumia kumsafirisha tembo kwa ndege kwenda Ireland, licha ya Tanzania kudai kwamba Ireland iliahidi kulipia gharama hizo.
Kufuatia hatua ya Mbunge Msukuma kutunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima na chuo kimoja, hatua ambayo imezua mjadala mpana kuhusiana na utolewaji wa shahada hizo, ni muhimu kujiuliza hizi ni shahada za mchango au mchongo?
Wananchi waelezwe pia kwamba Katiba Mpya inamaanisha uchumi. Inamaanisha upatikanaji wa haki zao. Inamaanisha elimu. Inamaanisha afya. Siyo tume huru ya uchaguzi tu.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved