‘Ni Muhimu Madai ya Katiba Mpya Yakawa ya Wananchi, Siyo Wanasiasa Pekee’
Wananchi waelezwe pia kwamba Katiba Mpya inamaanisha uchumi. Inamaanisha upatikanaji wa haki zao. Inamaanisha elimu. Inamaanisha afya. Siyo tume huru ya uchaguzi tu.
Wananchi waelezwe pia kwamba Katiba Mpya inamaanisha uchumi. Inamaanisha upatikanaji wa haki zao. Inamaanisha elimu. Inamaanisha afya. Siyo tume huru ya uchaguzi tu.
Zitto anasema kwamba juhudi nyingi katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika zimeelekezwa kwenye kujenga nchi badala ya kujenga taifa.
Kwenye sehemu ya pili ya mahojiano na mwanasiasa huyo, Zitto anafafanua kinachoendelea nchini Ethiopia pamoja na kutoa tathmini yake ya Serikali ya Rais Samia.
Mwanahabari huyo mkongwe nchini anadai elimu inayotolewa kwa sasa nchini haimjengi Mtanzania kuwa huru na kuweza kuiwajibisha Serikali yake.
Kitendo cha Moroko kuendelea kuikalia kwa mabavu Sahara Magharibi kinaonesha kwamba harakati dhidi ya ukoloni barani Afrika hazijaisha
Ni kitendawili cha kuamua yupi ni mjasiriamali mdogo na yupi sio.
Nguli huyo wa historia nchini anabainisha umuhimu wa watu kujua historia yao akisema kwamba mtu akinyang’anywa historia yake ndio amenyang’anywa utu wake.
Ulimwengu anasema Katiba Mpya ni muhimu kwani itawaokoa watu na upigaji ramli katika uendeshaji wa nchi.
Kansela huyo wa kwanza mwanamke nchini Ujerumani anategemewa kuachia ngazi mwisho mwa mwaka huu baada ya kulitumikia taifa hilo la Ulaya kwa kipindi cha miaka 16.
Kada huyo wa CCM anasema moja ya sababu ya kuingia kwenye vyama vingi ni kusikiliza maoni ya watu
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved