
Zanzibar Yafafanua Madai ya Ubadhirifu Uuzwaji Nyumba za Serikali Mji Mkongwe
Yafuatia madai ya ACT-Wazalendo kwamba zoezi hilo limegubikwa na “kukosekana uwazi, maamuzi ya ubabaishaji na kukosekana uadilifu.”

Yafuatia madai ya ACT-Wazalendo kwamba zoezi hilo limegubikwa na “kukosekana uwazi, maamuzi ya ubabaishaji na kukosekana uadilifu.”

Ni wajibu wa walio kwenye mamlaka kutoa majibu na kuwajibika kwa wananchi.

The veteran CCM cadre Baraka Mohamed Shamte has been stripped of his party membership for “slandering in public” the president of Zanzibar.

Ismail Jussa, mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, anatolea ufafanuzi wa suala hili na mengineyo mengi kwenye sehemu hii ya kwanza ya mahojiano maalum kati yake na The Chanzo.

Ofisi hiyo inahusisha vitendo hivyo na ushawishi wa shetani na watu kukosa hofu ya Mungu.

Mfumo huo wa utoaji stakabadhi umeanza utekelezaji kwenye mwaka unaendelea wa fedha wa 2021/2022 hapo Julai 1, 2021, na kuja kupata umaarufu zaid mwanzoni mwa mwezi Februari 2022 baada ya mamlaka husika kuanza ufuatiliaji wa kuhakikisha wafanyabiashara wanatumia mfumo huo.

Serikali visiwani humo inapanga mikakati ya kuwawezesha wakulima kupanda mwani kwenye maji ya kina kirefu ili kukwepa athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoripotiwa kudumaza mwani unaolimwa kwenye maji madogo.

Ukraine na Zanzibar wanafanya mazungumzo ya kuwasafirisha raia hao wapatao 900 mpaka nchini Poland ambayo kwa sasa inapokea wakimbizi wengi kutoka Ukraine.

Mfumo huo ambao ulizunduliwa rasmi mnamo Februari 27, 2021, ulilenga kumsogeza Rais Mwinyi karibu zaidi kwa wananchi ili aweze kusikia moja kwa moja kutoka kwao kero zinazowasumbua na hivyo kuzitafutia ufumbuzi wake.

The foundation seeks to preserve the statesman’s contribution towards reconciliatory politics in Tanzania.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved