TGNP Yataka Wanahabari Kuchochea Ushiriki wa Wanawake Kwenye Uongozi
Ushiriki wa wanawake kwenye uongozi umeendelea kuwa mdogo, huku mfumo dume ukitajwa kuchochea hali hiyo.
Ushiriki wa wanawake kwenye uongozi umeendelea kuwa mdogo, huku mfumo dume ukitajwa kuchochea hali hiyo.
Utamaduni huo unahusishwa na kujengeka kwa mahusiano mazuri kati ya baba na mtoto atakayezaliwa.
TAKUKURU inaamini kwamba elimu juu ya rushwa kwa watoto wadogo itasaidia kujenga taifa la wachukia rushwa.
Inakuwa hospitali ya pili nchini kutoa huduma hiyo baada ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Huku makisikio yakionesha jiji la Dodoma kuwa na wakazi wapatao 1,972,968 ifikapo mwaka 2051, mamlaka jijini humo ziko mbioni kutafuta vyanzo vipya vya maji.
Ni kwa kushiriki kwenye kuwanyanyapaa watu wanaoishi na VVU, hali inayotajwa kuchangia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo hatari.
Kamishna wa Mamlaka ya Bima amewashauri wateja wa bima kutoa malalamiko yao kwa Mamlaka kabla ya kwenda Mahakamani
Serikali yataka wafanyakazi wote sekta ya umma na binafsi kuhakikisha wanaandikishwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi .
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania inapendekeza hivyo.
Dhamira ya Serikali katika maandalizi ya Dira ya 2050 ni kushirikisha Watanzania kutoka pembe zote za nchi
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved