
Hospitali ya Benjamin Mkapa Kutafiti Sababu ya Ongezeko la Tatizo la Mawe ya Figo Kanda ya Kati
Wananchi wanabainika kuwa na mawe kwenye figo wanasikia maumivu makubwa sana pembeni ya tumbo karibia na mgongo

Wananchi wanabainika kuwa na mawe kwenye figo wanasikia maumivu makubwa sana pembeni ya tumbo karibia na mgongo

Canada imetangaza kutoa msaada wa dola milioni 25 za Canada, takribani bilioni 46 za Kitanzania zitakazotumika katika mradi wa elimu uitwao ‘Kila Binti Asome’

Wataalam waeleza njia hiyo ni ya uharaka ili kupata ufumbuzi wa suala husika.

Ushiriki wa wanawake kwenye uongozi umeendelea kuwa mdogo, huku mfumo dume ukitajwa kuchochea hali hiyo.

Utamaduni huo unahusishwa na kujengeka kwa mahusiano mazuri kati ya baba na mtoto atakayezaliwa.

TAKUKURU inaamini kwamba elimu juu ya rushwa kwa watoto wadogo itasaidia kujenga taifa la wachukia rushwa.

Inakuwa hospitali ya pili nchini kutoa huduma hiyo baada ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Huku makisikio yakionesha jiji la Dodoma kuwa na wakazi wapatao 1,972,968 ifikapo mwaka 2051, mamlaka jijini humo ziko mbioni kutafuta vyanzo vipya vya maji.

Ni kwa kushiriki kwenye kuwanyanyapaa watu wanaoishi na VVU, hali inayotajwa kuchangia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo hatari.

Kamishna wa Mamlaka ya Bima amewashauri wateja wa bima kutoa malalamiko yao kwa Mamlaka kabla ya kwenda Mahakamani