
Watu 217 wapoteza maisha mahala pa kazi katika kipindi cha mwaka 2019 hadi 2021
Serikali yataka wafanyakazi wote sekta ya umma na binafsi kuhakikisha wanaandikishwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi .

Serikali yataka wafanyakazi wote sekta ya umma na binafsi kuhakikisha wanaandikishwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi .

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania inapendekeza hivyo.

Dhamira ya Serikali katika maandalizi ya Dira ya 2050 ni kushirikisha Watanzania kutoka pembe zote za nchi

Wadau wataka gharama za nishati mbadala zipunguzwe ili Watanzania wengi waweze kuzimudu.

Unatajwa kuongeza ufanisi kwenye ukusanyaji mapato na kuepusha upotevu.

Wananchi wameshauriwa kushiriki kikamilifu kwenye utunzaji wa vyanzo vya maji.

Malalamiko makubwa ni ucheleweshaji wa malipo kwa wakulima.

Wadau wahimiza mabadiliko ya sheria ili kudhibiti wimbi la ajali kwa vijana

Angalau watoto njiti 36 wapatiwa huduma katika Kitengo cha Watoto Njiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bahi, Dodoma.

Yataka utoaji wa adhabu shuleni uzingatie waraka namba 24 wa mwaka 2002 wa Wizara ya Elimu na Utamaduni