Samia Azindua Tovuti ya Salim Ahmed Salim. Aagiza Tovuti ya Kumbukumbu Muhimu za Historia Ianzishwe
Tovuti ya nyaraka za Dkt.Salim Ahmed Salim, ni tovuti inayoangalia maisha ya mwanadiplomasia huyo nguli; historia yake binafsi, elimu, historia ya kazi toka alivyoteuliwa kuwa balozi mpaka alivyoshika nyadhifa za juu kimataifa na hata nchini.