Septemba 30 ni Mwisho wa Kutumia Mfumo wa TANEPs Kwenye Manunuzi ya Umma. NeST Kutumika
Mfumo wa NeST unategemewa kuongeza uwazi zaidi hasa katika hatua zote za manunuzi, huku teknologia ya mfumo ikihakikisha taratibu zote za manunuzi zinaweza kufanyika ndani ya mfumo.