Kwa Kung’ang’ania Kiingereza, Rasimu ya Sera ya Elimu Imeshindwa Kuzingatia Maslahi ya Wengi
Kama lengo la elimu ni kumuwezesha mwanafunzi ayamudu mazingira yake, lengo hilo litafanikiwa endapo maarifa yatatolewa kwa lugha isiyoeleweka?
Kama lengo la elimu ni kumuwezesha mwanafunzi ayamudu mazingira yake, lengo hilo litafanikiwa endapo maarifa yatatolewa kwa lugha isiyoeleweka?
Vyombo vinavyopokea waandishi kutoka vyuo vinasema wengi hawawezi hata kuandika utangulizi wa stori. Lakini pia inasemwa hao waandishi hata tafakuri tunduizi hawana.
Tushindane na wale waliotuzidi kwa unafuu wa bei badala ya kubweteka na kujiliwaza kuwa tunafanya vema kwa kigezo cha tuliowazidi.
Jaribu kuwaza iwapo tukio la aina hiyo lingefanywa na Wazungu katika nchi zao kwa mchezaji wa Kiafrika? Dunia ingepasuka.
Inasikitisha kuona umechagua watu wakukumbuke kwa mabaya badala ya wema.
Hofu ilitoa mchango mkubwa sana katika kufanikissha tukio hilo kubwa katika historia ya Tanzania.
Kiswahili kinakidhi mahitaji kama lugha ya kufundishia iwapo tukiachana na kasumba ya kujidharau na kukosa kujiamini.
Ufisadi ni tatizo la kijamii na tukigundua hilo mapema ndiyo salama yetu.
Waandishi wanalo jukumu la kuwasemea wasio na sauti na kuitaka Serikali iwawajibisha wawekezaji wanaodhulumu watu maskini wanaohenyeka kwa kazi ngumu na kulipwa kiduchu. Lakini jukumu hilo linatekelezwa kwa kiwango kidogo sana nchini.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved