Umahiri, Weledi wa Hayati Mwinyi Katika Kiswahili Unatupa Tanbihi Gani?
Pamoja na ufasaha wa lugha na lafudhi nzuri, Hayati Mwinyi anatajwa kuwa mwandishi mzuri anayejua kuzingatia taratibu za uandishi, mantiki ya tungo, mpangilio wa maneno, sentesi na vifungu vya habari.