Yaliyowapatanisha, Kuwafarakanisha Serikali, Upinzani 2022
Lipo kwa kuachiwa huru kwa Mbowe na uteuzi wa Faiza kama Mkurugenzi wa ZEC
Lipo kwa kuachiwa huru kwa Mbowe na uteuzi wa Faiza kama Mkurugenzi wa ZEC
Yumo Rais Samia Suluhu Hassan aliyetunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Ni dhana inayotambua uhusiano na mwingiliano uliopo kati ya binadamu, wanyama, mimea na mazingira yao. Husaidia kwenye kinga dhidi ya magonjwa.
Mnyukano unaonekana ulikuwa mkali kwenye siasa za ndani ya Zanzibar tu, huku maoni ya wadau yakionekana kufanana linapokuja suala la Muungano.
Dira yake ya kutaka kuigeuza Zanzibar kuwa ‘Singapore ya Afrika’ ilitawala mkutano wa kuenzi urathi wake kwenye elimu.
Kwa kuamua kutumia Kiingereza badala ya Kiswahili, tena nchini Tanzania ambapo watu wake wengi ni wazungumzaji wa Kiswahili, Rais Ruto amezipa nguvu kasumba zinazohusu lugha hizo mbili.
Ataka mifumo na taasisi ziwekwe ambazo zitahakikisha watawala wanawajibika kwa wananchi.
Nilikuwa mmoja kati ya watu wengi walioteswa vikali baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020. Natumai kisa changu kitachangia kwenye michakato inayoendelea nchini ya kutafuta maridhiano ya kisiasa na kuboresha mfumo wa utoaji haki.
Anasema mambo haya hayakupatiwa ufumbuzi kwenye mchakato wa 2011 na muhimu yakapatiwa ufumbuzi sasa.
Yafuatia madai ya ACT-Wazalendo kwamba zoezi hilo limegubikwa na “kukosekana uwazi, maamuzi ya ubabaishaji na kukosekana uadilifu.”
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved