Bajeti 2022/2023: Serikali Kuboresha Mfumo wa Manunuzi, Ukaguzi ili Kupata Thamani ya Fedha na Kudhibiti ‘Wizi wa Kisheria’
Serikali inakusudia kuhama kutoka kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei za wazabuni waliopatikana katika mchujo wa zabuni kwenda kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei halisi katika soko.