Tume Yataka Uchunguzi Mali Zilizotaifishwa Chini ya Utaratibu wa Kukiri Kosa
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamika mali zao kutaifishwa kupitia utaratibu wa kukiri makosa ya jinai.
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamika mali zao kutaifishwa kupitia utaratibu wa kukiri makosa ya jinai.
Yataja athari zitokanazo na uwepo wa utitiri wa taasisi za upelelezi wa makosa ya jinai Tanzania.
Tume yataka iwapo mwathirika wa maagizo ya Mkuu wa Mkoa au Wilaya atafungua shauri Mahakamani, basi huyo kiongozi awajibike yeye mwenyewe badala ya Serikali.
Mkakati huo, pamoja na mambo mengine, ungeainisha majukumu ya taasisi mbalimbali pamoja na vyombo vya utekelezaji na jamii kwa ujumla.
Mwabukusi anatakiwa kupeleka utetezi wake katika Kamati ya Maadili ya Mawakili ndani ya siku ishirini na moja. Kama utetezi wake hautakubalika moja ya adhabu inayotegemewa katika shauri hili ni kuvuliwa uwakili kwa kuondolewa katika orodha ya mawakili Tanzania.
Uratibu ni muhimu kuhakikisha juhudi za kitaifa zinazaa matunda pamoja na ushiriki wa sekta binafsi.
Ulinzi wa mazingira usifanyike kwa gharama za maisha na haki za wanajamii.
Ni muhimu Tanzania kuendesha shughuli zake za kiuchumi kwa namna inayopunguza utegemezi wake kwenye tabianchi, ikiwemo kufanya kilimo cha umwagiliaji.
Wanasayanasi wanakubaliana kwamba mabadiliko ya tabianchi yanatokea na yanatokea kwa kasi kubwa na kuathiri shughuli za binadamu katika kujiletea maendeleo yake.
Awataka watoe hoja zenye mantiki na siyo kujificha kwenye kivuli cha Mwalimu Nyerere.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved