Mawaziri Madini, Nishati na Viwanda Kikaangoni, Waelezea Miradi ya Kimkakati.
Miradi mipya ya madini yanye thamani ya trilioni 1.8 inategemewa
Miradi mipya ya madini yanye thamani ya trilioni 1.8 inategemewa
Moja ni kukosekana kwa mbinu za kitaalaam za mahojiano baina ya watoto ambao ni wahanga wa ukatili wa kingono na maafisa wa polisi na Ustawi wa Jamii
Watoto 37 kati ya 100 wanaoishi kwenye makao makuu ya nchi wanakisiwa kuwa na tatizo la udumavu.
Anasema CCM imetupilia mbali misingi ya kifalsafa iliyopelekea kuanzishwa kwake.
Mbali na gharama za matibabu kuwa juu, wazazi wenye watoto wenye selimundu pia wanalalamikia uchache wa wataalamu pamoja na ukosefu wa baadhi ya vipimo.
Kati ya Januari na Juni mwaka huu wa 2021 jumla ya watoto 128 wamekumbana na vitendo vya ulawiti na ubakaji, kati ya hawa wanawake wakiwa ni 116 huku na wanaume ni 12.
Both Mr Gwajima, who is also a pastor, and Mr Silaa have been banned from taking part in two parliamentary meetings consecutively. Speaker of Parliament Job Ndugai also demanded Mr Silaa issue an apology publicly following the inconvenience he has caused his fellow lawmakers.
Mwanaharakati wa haki za watu wenye ulemavu wa ngozi anaelezea changamoto zinazowakabili watu wa jamii hiyo nchini Tanzania na hatua zilizofikiwa mpaka sasa kuboresha ustawi wao.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved