Undani Kuhusu Mtanzania Aliyefariki Nchini Ukraine. Familia Yazungumza
Nemes Tarimo aliuwawa Ukraine akiipigania Urusi, familia inasubiri mwili wake
Nemes Tarimo aliuwawa Ukraine akiipigania Urusi, familia inasubiri mwili wake
BoT imesema kwamba benki hiyo kuendelea kutoa huduma za kibenki kutahatarisha usalama wa amana za wateja wake.
Una haki ya kusahaulika, usikubali ichezewe, Maxence Melo wa JamiiForums anawasihi wananchi.
Ni dhana inayohimiza viongozi wa Serikali kuwa na mdomo mdogo, masikio makubwa na macho makubwa.
Ataka mifumo na taasisi ziwekwe ambazo zitahakikisha watawala wanawajibika kwa wananchi.
Kiongozi mwandamizi wa ACT-Wazalendo anaamini hakuwezi kuwa na uhuru wa habari katika mazingira ambayo waziri mwenye dhamana anaruhusiwa kufungia gazeti.
ACT-Wazalendo wanaamini hatua hiyo ni muhimu ili kumjumuisha kila Mtanzania kwenye utaratibu wa bima ya afya.
Mwanasisasa huyo anasema maisha kwa sasa yamekuwa magumu kwani CCM “inacheza na chakula.
Mwanamuziki huyo anaelezea A-Z ya sakata zima la yeye kuwa mikononi mwa polisi baada ya kufananishwa na mtuhumiwa mwengine.
Anasema mambo haya hayakupatiwa ufumbuzi kwenye mchakato wa 2011 na muhimu yakapatiwa ufumbuzi sasa.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved