Pili Mtambalike: Serikali Iwe na Uvumilivu ili Waandishi Waweze Kufanya Kazi kwa Uhuru
Mwandishi huyo na mshauri wa siku nyingi wa masuala ya habari anasema bila ya Serikali kuwa na uvumilivu ni vigumu kupata sheria na kanuni rafiki kwa waandishi wa habari na vyombo vyao vya habari