Lema Amweleza Masauni Hatari Anayoiona: ‘Nisaidie Niwepo Kwenye Send-Off ya Mtoto Wangu Akiolewa, Ana Miaka 15’
Godbless Lema ameeleza kuwa yupo katika hatari ya kutekwa na hata kuuwawa
Godbless Lema ameeleza kuwa yupo katika hatari ya kutekwa na hata kuuwawa
Wakati Masauni akiendelea na dua hiyo kabla ya kuanza hotuba, waombolezaji walianza kupiga kelele huku wengine wakimtaka ajiuzulu
Maandamano haya yanakuja wakati ambapo serikali ikendelea na mpango wake wa kuwahamisha Wamasai zaidi ya 110,000 kutoka Ngorongoro kwenda Msomera, Sauni, na Kitwai zaidi ya kilomita 300 kutoka makazi yao ya sasa.
akamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ametangaza kuwa tayari amekiandikia chama chake juu ya nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake.
Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA, Moza Ally mabasi 20 yalizuiwa Iringa, Makambako na Mtera, wakitokea mikoa mbalimbali.
Enock John Chambala (41) ni mfanyabiashara wa Mkonge huko jijini Tanga anasemekana kutoweka toka Julai 06,2024
Mwabukusi ameibuka kidedea kwa kupata kura 1,274 mbele ya mgombea Sweetbert Nkuba aliyepata kura 807 Jumla ya wapiga kura wote walikuwa ni 2,206
Treni hiyo ilisimama kwa muda wa saa mbili kati ya stesheni ya Kilosa na Kidete hapo jana Julai 30,2024
Mamlaka hiyo imeeleza haya ikijibu barua ya wadau wa Kikundi Kazi Cha Masuala ya Mitandao (IGTWG)
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amejiuzulu nafasi yake leo Julai 29,2024.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved