Una Malalamiko ya Madai kwa Kampuni ya Bima? Fuata Huu Ushauri wa Mamlaka
Kamishna wa Mamlaka ya Bima amewashauri wateja wa bima kutoa malalamiko yao kwa Mamlaka kabla ya kwenda Mahakamani
Kamishna wa Mamlaka ya Bima amewashauri wateja wa bima kutoa malalamiko yao kwa Mamlaka kabla ya kwenda Mahakamani
Serikali yataka wafanyakazi wote sekta ya umma na binafsi kuhakikisha wanaandikishwa kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi .
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania inapendekeza hivyo.
Dhamira ya Serikali katika maandalizi ya Dira ya 2050 ni kushirikisha Watanzania kutoka pembe zote za nchi
Wadau wataka gharama za nishati mbadala zipunguzwe ili Watanzania wengi waweze kuzimudu.
Unatajwa kuongeza ufanisi kwenye ukusanyaji mapato na kuepusha upotevu.
Wananchi wameshauriwa kushiriki kikamilifu kwenye utunzaji wa vyanzo vya maji.
Malalamiko makubwa ni ucheleweshaji wa malipo kwa wakulima.
Wadau wahimiza mabadiliko ya sheria ili kudhibiti wimbi la ajali kwa vijana
Angalau watoto njiti 36 wapatiwa huduma katika Kitengo cha Watoto Njiti katika Hospitali ya Wilaya ya Bahi, Dodoma.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved